Deuteronomy 28:8

8 a Bwana ataagiza baraka juu ya ghala zako na juu ya kila kitu utakachogusa kwa mkono wako. Bwana Mwenyezi Mungu wako atakubariki katika nchi anayokupa.

Copyright information for SwhKC